February 18, 2013


Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage alijikuta hana ujanja zaidi ya kulazimika kwenda alipokuwa amekaa kocha wa zamani, Milovan Cirkovic.
Rage baada ya kumuona Cirkovic alikwenda alipokuwa amekaa na kulazimika kumuinua mkono, eti kuwakoga mashabiki wa Yanga.
Rage bana...eeh!!

Lakini mashabikii hao walimzomea na kumsisitiza amlipe fedha anazodai badala ya kumuinua mkono kwa ajili ya kuwakoga wao.
Milovan anaidai Simba mshahara wa miezi minne, kati ya hiyo mitatu ni kwa ajili ya kuvunja mkataba lakini Simba wamekuwa wakimzungusha.
Pamoja na kuonyesha yuko karibu na Milovan, Rage amekuwa akimkwepa kocha huyo aliye jijini Dar kudai fedha zake hizo kwa kumpa ahadi ataonana naye lakini sasa ni zaidi ya siku tano, hajawahi kukutana naye.

1 COMMENTS:

  1. matendo na yaliyopo moyoni mwake walaaa hapo anawaza hv hilo jamaa litanondoka lini ???????

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic