Kiungo wa PSG, David Beckham leo aliwaalika wanaye
katika mazoezi ya timu hiyo mjini Paris.
Watoto hao watatu wa Beckham ambao ni Brooklyn,
Romeo na Cruz walikuwa sehemu ya mazoezi ya timu hiyo.
Nyota wa timu hiyo, mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic
na beki mahiri wa kati, hiago Silva walikuwa wakicheza na Brooklyn, Romeo na Cruz.
Imeelezwa hiyo ni sehemu ya mbinu ya Beckham
kuwatangaza watoto wake katika kutafuta soko la kimataifa.
Tayari alishapata dili na Brooklyn alikuwa sehemu
ya mipango ya Chelsea ya London katika timu yake ya vijana.
0 COMMENTS:
Post a Comment