Viingilio sahihi
za mechi ya watani kati ya Yanga dhidi ya Simba ni hivi vifuatavyo.
Sh 7,000 kwa viti
vya bluu na kijani, Sh 10,000 viti vya rangi ya chungwa, Sh 20,000 kwa VIP C na
B wakati VIP A itakuwa Sh 30,000.
Awali ilielezwa
kiingilio cha chini kabida ni Sh 5,000. Lakini sahihi ni Sh 7,000.
0 COMMENTS:
Post a Comment