April 19, 2014



Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic amewaambia mashabiki wa timu yake wasiwe na hofu na wajitokeze kwa wingi.


Logarusic amesema mashabiki watakaokwenda Uwanja wa Taifa jiini Dar, leo watawaona Yanga wakiteseka.
“Najua watacheza kwa kasia na kukimbia sana, lakini mje muone wanavyoteseka. Waambie mashabiki wasiwe na hofu,” alisema mara tu baada ya Simba kutua ikitokea Zanzibar, jana jioni.

Yanga na Simba zinacheza mchezo wa kufunga ligi leo kwenye uwanja huo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic