April 24, 2014





Pamoja na kuwa na umbo zuri, fedha za kutosha mwanadada maarufu, Kim Kardashian ameonekana kuwashangaza wengi kutokana na kuvaa sketi na blausi iliyoonekana kutokuwa nzuri.

Kim ,33, alionekana akiwa amevaa sketi hiyo iliyotengenezwa kwa ngozi, lakini haikuwa na mvuto na kusababisha watu wengi kushangazwa na hilo.
Picha nyingi za mwanadada huyo mpenzi wa msanii maarufu wa hip hop wa Marekani, Kanye West zimepondwa kwamba alivaa gauni la kubahatisha.
Wengine wameeleza kwamba kuvaa nguo za bei kubwa, haina maana ndiyo lazima upendeze, badala yake ni jinsi ya kujipangilia na kujitambua ulivyo.
'



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic