July 25, 2014

BENAYOUN AKIMTWANGA SHABIKI

 Yossi Benayoun aliyewahi kukipiga Liverpool amejikuta katika wakati mgumu wakati nyota wa zamani wa QPR, Joey Barton kumuangushia lugha ya matusi kupitia mtandao wa Twitter.
Barton amemponda Benayoun waliowahi kucheza pamoja akidai ni mpuuzi kutokana na kitendo cha kushiriki kupigana na mashabiki waliovamia timu ya Maccabi Haifa ikiwa uwanjani nchini Austria na kusababisha mechi kuvunjika.
Mashabiki hao wenye asili ya Palestina na wengine Uturuki waliingia na kuanza kuwapiga wachezaji wa Maccabi Haifa akiwemo Benayoun, nao wakajibu mapigo.

MANENO MAKALI YA BARTON..

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic