August 22, 2014



Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa TSN, Farough Baghoza, jana alitumia sekunde kadhaa ‘kumuuma sikio’ kiungo wa wakongwe wa Real Madrid, Chiristian Karembeu.
Tokea ametua nchini jana usiku, Karembeu amekuwa 'beneti' kinoma na Faroukh ambaye pia ni mwanasoka.
Jana walizungumza muda mwingi na Karembeu baada ya kutua nchini na kufanya watu wawashangae kwa kuwa walikuwa kama vile watu wanaoishi 'kitaa' kimoja vile au wamekuwa wakikutana mara kwa mara maana Faroukh ni shabiki wa 'kulia' wa Real Madrid.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic