August 30, 2014

 Fernando Torres amekubali kutua AC Milan kwa mkopo ambako atacheza misimu miwili.
Nyota huyo wa Chelsea aliyekuwa anashikilia rekodi ya usajili ya pauni milioni 50 akitokea Liverpool kutua Chelsea ametua mjini Milan Italia leo.

Torres ambaye rekodi yake imevunjwa na Di Maria aliyejiunga na Man United, amepokewa na mashabiki mjini Milan akiwa tayari kuanza kazi.

FERNANDO TORRES KWA NAMBA: 
ATLETICO MADRID (2001-07)
Mechi: 244
Mabao: 91
Wastani kwa mabao: 2.7 matches

Liverpool (2007-11)
Mechi: 142
Mabao: 81
Wastani kwa mabao: mechi 1.8
Gharama kwa bao (alisajiliwa kwa £24m): £296,000

CHELSEA (2011-14)
Mechi: 172
Mabao: 45
Wastani kwa mabao: mechi 3.8
Gharama kwa bao (alisajiliwa kwa £50m): £1.1m 

HISPANIA (2003-)
Mechi: 110
Mabao: 38
Wastani kwa mabao: mechi 2.9





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic