August 29, 2014

 Kiungo mshambuliaji mpya wa Man United, Angel Di Maria amesema ana taarifa kuhusiana na jezi namba 7.



Di Maria amesema ana taarifa za heshima kubwa ya jezi hiyo kwa kuwa alizungumza na Ronaldo ambaye aalikuwa anakipiga naye Real Madrid.
Amesema pamoja na uongozi wa Man United kutaka aivae, hata yeye alikuwa akitaka kuivaa jezi hiyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic