August 26, 2014


MUSOTI (KUSHOTO) AKIWA MAZOEZINI AKIWA MAZOEZINI PAMOJA NA KISIGA.

Huku muda wa kufunga usajili wa Ligi Kuu Bara ukiwa unayoyoma kwenda ukingoni, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri ameachiwa zigo la kuchagua beki yupi abaki kikosini mwaka kati ya Donald Musoti na Butoyi Hussein raia wa Burundi.


Musoti tayari amekuwa akijifua na Simba lakini Butoyi kutoka Telecom ya Djibout.
Lakini uongozi wa Simba umeelezwa kumuachia Patrick Phiri achukue uamuzi wa mwisho.
Simba sasa ina wachezaji sita wa kigeni, wakati wanatakiwa watano tu.
Na nafasi moja wanatakiwa wawanie kati ya Musoti na Butoyi ambaye ni raia wa Burundi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic