August 26, 2014



Klabu ya Juventus imeamua kuvunja ukimya baada ya kuwasiliana na Manchester United ikieleza inataka kumnasa mshambuliaji Javier Harnandez ‘Chicharito’.
Juventus imeamua kuchangamka baada ya ombi lake kwa Arsenal kutaka kumnasa Lukas Podolski kwa mkopo kugonga mwamba.
Watailiano hao hawajakata tamaa baada ya kusikia Man United iko katika hatua za mwisho kumnasa Angel Di Maria kutoka Real Madrid.
Bado haijajulikana uamuzi wa Man Unuted kuhusu Chicharito raia wa Mexico utakuwa upi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic