August 26, 2014

Kitendo cha wakala wa Angel Di Maria, Jorge Mendez kuonekana na Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal wakiwa na furaha kubwa, imedhibitisha kuwa sasa mchezaji huyo anatua Man United.

Mendez ambaye pia ni wakala wa Ronaldo alionekana akiwa ndani ya gari pamoja na van Gaal, wote wakiwa na furaha kubwa.
Wote walikwenda kwenye mazoezi ya Manchester United kwenye Viwanja vya Aon na tayari mazungumzo yameishafanyika.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic