August 26, 2014



Kocha Marcio Maximo wa Yanga amesema asingependa kumfanya mshambuliaji Emmanuel Okwi ndiyo ishu.
Okwi yuko jijini Dar es Salaam akiisubiri Yanga ili ajiunge nayo.

“Unafikiri sawa nianze kujadili kuhusiana na mchezaji mmoja.

“Nimesema mara ngapi sipendi kujadili majina, hivyo tuachane na suala la Okwi.
“Vizuri tujadili Yanga kama timu inataka kufanya nini,” alisema Maximo.
Yanga ipo kisiwani hapa ikiendelea kujifua kwa ajili ya msimu ujao.
Okwi alichelewa kuja kambini kujiunga na Yanga kwa madai kwamba hajalipwa fedha zake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic