August 28, 2014



Unamkumbuka Kipa Mohammed Mwameja wa Simba alivyokuwa mahiri,sasa muone kwenye picha hii.
Hapa alikuwa hoi baada tu ya kucheza dakika 26 katika mechi ya wakongwe wa Tanzania Eleven dhidi ya wakongwe wa Real Madrid, Agosti 23, mwaka huu.
Hata hivyo, Mwameja alijitahidi na kucheza dakika 45 na baada ya hapo akamuachia Manyika Peter.
Umri hauna mwenyewe, ukifika ndiyo hivyo lakini pongezi kwa kina Mwameja na wenzake kujitokeza na kuiwakilisha Tanzania vizuri ingawa walilambwa 3-1.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic