August 1, 2014


Mshambuliaji nyota wa Arsenal, Mesut Ozil amepiga picha akiwa pamoja na Kevin Durant.
Durant ni nyota wa mpira wa kikapu katika kikosi cha Oklahoma City Thunder anachokichezea Mtanzania Hasheem Thabeet.

Hivi karibuni baada ya kuteuliwa kuwa MVP wa ukanda wake, Durant awashukuru wachezaji wa kikosi chake akiwemo Thabeet aliyemuita mcheshi.
Ozil ametupia picha hiyo mtandaoni wakati alipotembelea kambi ya timu ya taifa ya Marekani ‘The Dream Team’ inayojiandaa na michuano itakayofanyika nchini Hispania, hivi karibuni.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic