August 20, 2014


Kikosi cha Tanzania Eleven chini ya Kocha Charles Boniface Mkwasa, kitaweka kambi kwenye hoteli maarufu ya kisasa ya Sapphire Court ya jijini Dar es Salaam.

Kambi hiyo inatarajia kuanza kesho na wachezaji wataingia kambini hapo kujiandaa kwa ajili ya mechi dhidi ya wakongwe wa Real Madrid itakayopigwa jijini Dar es Salaam, Jumamosi.
Madrid itaongozwa na Luis Figo aliyewahi kuwa nota wa Barcelona, baadaye Real Madrid na Inter Milan.
Mechi hiyo inasubiriwa kwa hamu na tayari tiketi zimeanza kuuzwa katika sehemu mbalimbali.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic