September 30, 2014


Unamkumbuka mwanadada, Nargis Mohammed, yule aliyekuwa gumzo kwa urembo wakati akiwa mmoja wa washiriki wa Miss Tanzania?
Kumbe siku hizi anapiga job kwenye CRDB Microfinance ambayo ni kampuni mtoto wa benki ya CRDB.


Leo, alikuwa karibu na mwigizaji Mpoki wa kundi la Orijino Comedy, basi kila saa anamcheki Mpoki, sijui alikuwa akizubalia ndevu zake, kipara au pozi la mwigizaji huyo.
Kampuni anayoitumikia Nargis, ndiyo ilisimamia zoezi zima la waigizaji hao kupata bima ya afya na ya maisha kutoka katika kampuni za AAR na African Life.
 



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic