September 18, 2014


 

Baada ya kuwa shujaa na kuokoa hatari kibao, kipa Joe Hart alishindwa kuikoa Man City katika dakika ya 90 dhidi ya Bayern Munich.

Hart aliruhusu bao lililofungwa na beki, Jermome Boateng ambaye ni beki wa zamani wa City alifunga bao hilo tamu utafikiri mshambuliaji.
Kabla ya kufungwa bao hilo, Hart alionyesha uwezo mkubwa na kuokoa hatari zaidi ya nne ambazo zingezaa mabao.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic