October 23, 2014


Arsenal imejitutumua na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 ikiwa ugenini katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Arsenal imeichapa Anderletch ya Ubelgiji katika mechi hiyo iliyoonekana itaisha kwa wenyeji kushinda lakini Arsenal ikafunga mabao mawili katika dakika mbili.

Keran Gibbs alifunga bao la kusawazisha katika dakika ya 89, kabla ya Lukas Podolski kufunga la pili katika dakika ya 90.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic