October 18, 2014


Bao la nahodha Aggrey Morris ndiyo ‘sumu’ iliyoimaliza Mbeya City huku Azam FC ikiibuka na ushindi wa bao 1-0.

Licha ya kubwa nyumbani, Mbeya City imeshindwa kuizuia Azam FC baada ya bao hilo moja la Morris lililofungwa kwa mkwaju wa adhabu baada ya Kipre Tchetche kuangushwa nje ya 18.

Mara ya mwisho zimekutaka kwenye uwanja huo ilikuwa ni mechi ya kufunga msimu na Azam FC ikashinda na kubeba ubingwa.

Mjini Tanga, Coastal Union imeshinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Mgambo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic