October 23, 2014


Mshambuliaji Diego Costa wa Chelsea ameingia kwenye hofu ya kucheza kucheza mechi dhidi ya Man United wikiendi hii.

Costa amekimbizwa hospitali moja mjini London baada ya kupatwa na maumivu makali ya tumbo.
Gazeti la The Sun limeeeleza kwamba amegundulika kuwa virusi ambavyo vilisababisha kuwa na maumivu hayo makali.

Hata hivyo bado haijajulikana kama hali yake ni nzuri au la ingawa baadaye gazeti la Daily Telegraph lilisema alikuwa anaendelea vizuri.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic