October 30, 2014


MKATABA WA KIBIASHARA
Leo tarehe 30.Oct.2014, Mbeya City Fc inasaini mkataba wa makubaliano ya kibiashara na Benki ya Posta Tanzania  (TPB).


Huu ni mkataba wa kibiashara (Siyo udhamini) kwa maana kuwa kupitia kadi za ATM ambazo mashabikiwa Mbeya City Fc watapewa baada ya kufungua ‘akaunti’ wataweza kuichangia timu kupitia huduma za kibenki watakazokuwa wakizifanya kwa kutumia akaunti zao.

Mkataba huu pia utaifanya club kufahamu idadi ya mashabiki iliyonao nchini kote.


DISMAS  TEN
AFISA HABARI NA MAWASILIANO
MBEYA CITY COUNCIL FC.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic