October 31, 2014


Beki Marcelo sasa ni full kujidai baada ya kufikisha mechi 282 akiichezea Real Madrid zikiwemo za kirafiki na mashindano.


Kwa mechi hizo, Marcelona raia wa Brazil amekuwa mgeni wa tatu mwenye mechi nyingi akiwa na Madrid.
Tena inaonekana ni mwenye mafanikio zaidi kwa kuwa amefikisha idadi hiyo ya mechi akiwa na umri wa miaka 26 tu!
Wageni wengine waliowahi kupiga mechi nyingi zaidi ni Hugo Sánchez kutoka Mexico aliyefikisha 281.


Wengine ni Uli Stielke (mechi 306) na beki wa kushoto kutoka Brazil, Roberto Carlos aliyepiga mechi 527.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic