October 31, 2014

ROONEY AKIWA MAZOEZINI LEO.

Sasa ni uhakika nahodha wa Man United, Wayne Rooney ataanza mechi ya Jumapili dhidi ya Man City.

Rooney amemaliza adhabu ya kadi nyekundu. Lakini Man United itamkosa tena mshambuliaji wake mzoefu Radamel Falcao ambaye bado ni majeruhi.
Mechi hiyo ya Jumapili kwenye dimba la Etihad inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka duniani.
MANCHESTER DERBY ZILIZOPITA:
2013-14 - United 0-3 City, City 4-1 United
2012-13 - United 1-2 City, City 2-3 United 
2011-12 - City 1-0 United, City 2-3 United (FA Cup), United 1-6 City
2010-11 - City 1-0 United (FA Cup), United 2-1 City, City 0-0 United,
2009-10 - City 0-1 United, United 3-1 City (League Cup), City 2-1 United (League Cup), United 4-3 City




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic