October 31, 2014


Kocha Roberto Martinez wa Everton ameeleza nia yake ya kutaka kumuongezea mshambuliaji wake Samuel Eto’o ‘shemeji’ mkataba wa mwaka mmoja.

Eto’o, 33, alisaini mkataba wa miezi 12 alipojiunga na timu hiyo Agosti, mwaka huu.
Lakini Martinez ameonyesha kuridhishwa na kiwango chake na kusema ni mtu mwenye bahati ya kipaji cha soka kutoka kwa Mungu.
Hata hivyo, Eto’o amepewa masharti ilia pate nafasi hiyo ya kuongezewa miezi 12.

Anachotakiwa kufanya raia huyo wa Cameroon kwa msimu huu ni kupata nafasi 15  za kuanza katika kikosi cha kwanza.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic