October 21, 2014

Mshambuliaji Luis Suarez ameshindwa kuficha furaha yake kwa kuwa zimebaki siku chache kabla hajaanza kuitumikia Barcelona.

Lakini pia akaeleza wazi kuwa anataka kucheza soka ahdi kustaafu akiwa na Barcelona.
Suarez ataanza kuichezea Barcelona Jumamosi katika mechi ngumu dhidi ya Real Madrid.
Mechi hiyo maarufu kama El Clasico itakuwa ya kwanza kwa Suarez akirejea uwanjani kwa upande wa timu ya kwanza ya Barcelona.

Alifungiwa miezi minne baada ya kung’ata beki wa Italia kwenye Kombe la Dunia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic