Mshambuliaji nyota wa Chelsea anayekipiga AC
Milan kwa mkopo amesema hakuondoka katika klabu hiyo ya London kwa kulazimishwa
na Kocha Jose Mourinho.
Torres raia wa Hispania amesema ulikuwa ni
uamuzi wake kufanya na maneno yake yameondoa taarifa za utata kwamba Mourinho
ndiye alimtaka kwenda Milan kwa mkopo wa miaka miwili.
0 COMMENTS:
Post a Comment