October 1, 2014

Kiungo mkongwe Xavi Hernandez sasa ndiye mchezaji aliyecheza mechi nyingi zaidi za Ligi ya Mabingwa kuanzia hatua ya makundi.

Xavi ameweka rekodi hiyo mpya baada ya jana kufikisha mechi 143 alipoingia kuitumikia Barcelona wakati ikilala kwa mabao 3-2 dhidi ya PSG iliyokuwa nyumbani.
Awali rekodi hiyo ilikuwa inashikiliwa na Raul Gongalez (Madrid) ambaye alikuwa na mechi 142, halafu Xavi akamfikia kabla ya kumpita.

WATANO WALIOCHEZA MECHI NYINGI KUANZIA HATUA YA MAKUNDI:
Xavi - 143
Raul - 142
Ryan Giggs - 141
Iker Casillas - 141
Clarence Seedorf - 125

WALIOCHEZA MECHI NYINGI ZAIDI KUANZIA HATUA YA MTOANO KUTAFUTA MAKUNDI:
Ryan Giggs - 151
Xavi - 148
Raul -144
Iker Casillas -143
Paolo Maldini - 140



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic