November 23, 2014


Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe amesema amekuwa akifanya mazoezi binafsi lakini pia kuijali familia.

Akizungumza kutoka kwao Burundi, Tambwe amesema nje ya soka, jambo namba moja ni familia yake.

“Kama siko uwanjani kwa kweli mimi si mtu wa mambo mengi, naipenda familia yangu,” alisema.
Tambwe ambaye ni mfungaji bora msimu uliopita, mambo hayajamuendea vizuri msimu huu kwa kuwa amefunga bao moja tu baada ya mechi saba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic