November 23, 2014

 Mshambuliaji wa Liverpool, Mario Balotelli ameonyesha kuwa ana mapenzi na mchezo wa ngumi.
Kwani licha ya kuwa kwenye presha kubwa kwamba hafanyi vizuri, jana aliibuka kwenye kushuhudia pambano la ngumi lililopigwa kwenye ukumbi wa Liverpool Echo.

Kikubwa alichohakikisha kinakaa sawa ni kuibuka akiwa na mlinzi wake maalum.
Pambano hilo lilikuwa ni kati ya Nathan Cleverly dhidi Tony Bellew.
Balotelli muda mwingi alionekana mtulivu na kufuatilia kwa umakini mkubwa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic