November 26, 2014

Kiungo Andrey Coutinho, amerejea nchini leo tayari kuanza kazi na kikosi chake cha Yanga.

Mwenzake, Geilson Santana 'Jaja' ameamua kubaki kwao Brazil na nafasi yake imechukuliwa na kiungo Emerson Roque aliyetua leo pia.
Coutinho amesema anaamini ameajiandaa vizuri na ataongeza mazoezi zaidi akiwa na wenzake, pia ana hamu kubwa ya kuonyesha mabadiliko.

"Kweli nimefanya sana mazoezi, lakini bado nahitaji kuungana na wenzangu na kuendelea kujifua zaidi," alisema Coutinho akionyesha kufurahia kurejea nchini.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic