November 26, 2014



Ramani hii inaonyesha mabao 74 ya Ligi ya Mabingwa Ulaya aliyofunga Lionel Messi na kufanikiwa kuweka rekodi mpya ya upachikaji mabao huku akimpiku Raul Gonzalez.

Mabao hayo ni yale ambayo alifunga nje ya mji wa Barcelona ambao kwake ni mji wa nyumbani.
Pia Messi alifunga mabao katika mechi zote za fainali dhidi ya Manchester United mwaka 2009 mjini Rome, Italia na mwaka 2011 jijini London England.

TAKWIMU:
Moja: Lionel Messi (Barcelona) - 74 goals
Mbili: Raul (Real Madrid, Schalke) - 71
Tatu: Cristiano Ronaldo (Manchester United, Real Madrid) - 70
Nne: Ruud van Nistelrooy (PSV Eindhoven, Manchester United, Real Madrid) - 56
Tano: Thierry Henry (Monaco, Arsenal, Barcelona) - 50




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic