November 23, 2014

Makumbusho ya Cristiano Ronaldo inatarajia kuidhamini klabu ya daraja la pili nchini Ureno ya União da Madeira kwa misimu mitatu.


Makumbusho hayo ya Ronaldo mjini Lisbon, inaidhamini klabu hiyo na kifuano itavaa nembo yenye maneno haya “CR7 Museum”.

Kwa mara ya kwanza, nembo hiyo itaanza kuonekana kwenye jezi za timu hiyo Novemba 29.

Kaka wa Ronaldo ambaye ni meneja wa makumbusho hayo, Hugo Aveiro, amesema wako katika hatua nzuri na klabu hiyo ya daraja la pili.


Madeira ni kisiwa cha Ureno alichozaliwa na kukulia Ronaldo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic