November 27, 2014

Kiungo na mmoja wa manahodha wa Simba, Renatus Njohole ametupia picha kwenye mmoja wa mtandao wa kijamii akiwa na wanaye watatu.

Njohole ambaye aliichezea Simba katika miaka ya 1990, sasa anaishi nchini Uswiss, kwa zaidi ya miaka kumi.
Njohole ni mmoja wa viungo bora waliowahi kuichezea Simba.

Alitokea kwenye familia ya soka ya akina Njohole ambayo ilikuwa na wanasoka wengi kama Nico Njohole na wengine.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic