November 26, 2014



Mshambuliaji Luis Suarez amefunga bao lake la kwanza la Ligi ya Mabingwa Ulaya akiwa na Barcelona katika mechi ya ugenini dhidi ya Apoel Nicosia.


Lakini kivutio zaidi ni Lionel ambaye katika mechi hiyo amepiga mabao matatu 'hat trick' na kuandika rekodi nyingine mpya ya kufikisha mabao 74 na kuwa mfungaji aliyefunga mabao mengi zaidi kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, akimpiku gwiji wa Real Madrid, Raul Gonzalez.

APOEL Nicosia
Urko Pardo 5, Sergio 6, Guilherme 5, Carlao 6, Antoniades 6; Gomes 7, Vinicius 5, Morais 5, Aloneftis 6; Manduca 5, Sheridan 6
Red cards: Guilherme 
Barcelona 
Ter Stegen 7; Alves 8, Piqué 7, Bartra 7, Jordi Alba 8; Rakitic 7, Mascherano 8, Rafinha 6; Suarez 8, Messi 9, Pedro 7
Goals: Suarez, Messi (3)
Red cards: Rafinha 












0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic