November 27, 2014

 Kiungo mpya wa Yanga, Emerson Roque leo ameanza mazoezi na kikosi chake cha Yanga kwa mara ya kwanza.

Kwa mujibu wa Yanga, Emerson atafanyiwa majaribio chini ya Kocha Marcio Maximo ambaye aliwasili jana akiongozana naye kutoka kwao Brazil.
Kwa mujibu wa video za mechi mbalimbali za kiungo huyo, inaonekana wazi si mtu wa kufanyiwa majaribio.

Leo alifanya mazoezi na wenzake kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Loyola jijini Dar es Salaam.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic