November 1, 2014



Wadau mbalimbali wa soka nchini pia wanamichezo mbalimbali wamejitokeza leo kumuaga mama wa mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans POppe.

Shughuli hiyo ya kuaga imefanyika leo nyumbani kwa Hans Poppe Ununio jijini Dar es Salaam.


Anna Mercati ,84, amefariki dunia juzi na mazishi yake yatakuwa mkoani Iringa.

Safari ya kwenda Iringa imeanza na mazishi yatakuwa kesho mjini humo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic