December 20, 2014

Kama ulifikiri mshambuliaji Elius Maguri amebweteka baada ya kuifunga Yanga bao la pili katika mechi ya Bonanza la Nani Mtani Jembe, unajidanganya.



Maguri ambaye anajulikana kwa pilika na presha kwa mabeki, amekuwa kati ya wachezaji wanaofanya mazoezi kwa juhudi kubwa katika kikosi cha Simba.

Mshambuliaji huyo aliyetokea Ruvu Shooting amekuwa akijifua kwa nguvu sana gym.

Pia ameendelea kuonyesha juhudi hata pale kikosi hicho chini ya Patrick Phiri anayesaidiwa na Selemani Matola kilipokwenda uwanjani kujifua.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic