December 20, 2014

Kiungo wa Manchester United, Michael Carrick sasa anachukua nafasi ya nahodha msaidizi.
Nafasi hiyo ilikuwa inashikiliwa na kiungo mwingine Darren Fletcher.

Carrick,33, alijiunga na Man United akitokea Tottenham Hotspur mwaka 2006.

Carrick alikuwa majeruhi lakini sasa amerejea uwanjani na kuanza kuonyesha kiwango bora chini ya Kocha Louis van Gaal.


Nahodha wa Man United tokea kocha huyo Mholanzi atue Old Trafford ni Wayne Rooney.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic