December 22, 2014


Katika mahojiano hayo, Fabregas amezungumza mambo kibao likiwamo suala la kusema angependa Chelsea imsajili mshambuliaji nyota wa Barcelona, mshikaji wake, Lionel Messi.


Vipi kama Mourinho anataka kumsajili Messi?:"Niwe wazi, natamani iwe hivyo, itokee hata leo. Ingawa naamini Messi anapendeza kama akistaafu Barca. Ni shujaa ambaye amebadili historia ya Barelona. Lakini pamoja na urafiki wetu lakini natamani kuona Messi akiwa mmoja wa wachezaji wenzangu kwenye kikosi.

Mourinho:"Mourinho ni kocha anayewazoea na kuwatumia vizuri wachezaji alionao. Ni mmoja wa makocha bora na wajuzi sana wa mipango au wenye uwezo wa kufanya wanachokitaka.

Madri ndiyo timu ngumu zaidi Ligi ya Mabingwa:"Real walionekana kama wamepotea, walipoteza mechi kadhaa muhimu kama vile Supercopa. Kuondoka kwa Xabi Alonso na Di MarĂ­a, hakikuwa kitu kidogo, lakini mpira mambo yanaweza kubadilika. Angalia sasa walivyo, ni timu bora.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic