December 19, 2014


Simba imepanga kujenga viwanja viwili vya mazoezi pamoja na hosteli katika uwanja wake ulio Bunju nje kidogo ya jijini la Dar es Salaam.


Tayari ramani ya viwanja na hosteli imepatikana na Rais wa Simba, Evans Aveva amesema kiasi cha Sh bilioni 2.5 ndicho kitakachotumika.

“Uwanja huo ambao utakuwa na viwanja viwili, hosteli za wachezaji wa timu kubwa na ndogo  ambavyo vitabeba wachezaji 30 pamoja na ofisi,” alisema Aveva.


“Kampuni ya Envirolink Enivornment ndiyo itasimamia ujenzi huo.’

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic