December 20, 2014


Kamati ya Utendaji imepitia na kupitisha makubaliano ya ushirikiano kati ya TFF na Chama cha Soka Afrika Kusini (Safa).


Makubaliano hayo ni ushirikiano katika nyanja za mpira wa miguu wa vijana, maendeleo ya waamuzi, ufundi, menejimenti ya matukio (event management) na utafutaji udhamini (sponsorship).

Safa ni kati ya mashirikisho ya soka barani Afrika yaliyokua kwa kasi kubwa ukilinganisha na mengine.

Pia ni kati ya mashirikisho tajiri katika soka la bara la Afrika.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic