January 28, 2015


Chelsea imefanikiwa kuing'oa Liverpool kwa bao 1-0 katika mechi iliyolazimika kupigwa kwa dakika 120 kwenye dimba la Stamford Bridge, London.


Beki Ivanovic ndiye aliyefunga bao pekee baada ya timu hizo kupambana kiume na kibabe. Mechi ya kwanza, timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1 na michuano ya Carling haichukui idadi ya mabao kwenye sare (sare zote ziko sawa ndiyo maana zikaongezewa dakika 30 zaidi).

Mshindi kati ya Sheffield na Tottenham ndiye atakutana na vijana hao wa Mourinho.

CHELSEA: Courtois 7.5, Ivanovic 6.5, Zouma 6, Terry 6.5, Luis 6 (Azpilicueta 78), Fabregas 6 (Ramires 50), Matic 6, Willian 7 (Drogba 119), Oscar 6.5, Hazard 8, Costa 7.5. 
Subs not used: Cech, Ake, Drogba, Remy, Cahill.
Booked: Terry, Ivanovic, Costa, Oscar
Goal: Ivanovic 94
Manager: Jose Mourinho 7 
LIVERPOOL: Mignolet 7.5, Can 6, Skrtel 7, Sakho 6.5 (Johnson 57), Markovic 6 (Balotelli 70), Henderson 7, Lucas 7.5, Moreno 7 (Lambert 105), Coutinho 8, Gerrard 6, Sterling 7.5. 
Subs not used: Ward, Lovren, Lallana, Allen.
Booked: Henderson, Lucas, Gerrard, Can, Skrtel
Manager: Brendan Rodgers 7 
Referee Michael Oliver (Northumberland)












0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic