January 27, 2015


Kikosi cha Mwadui FC kinachonolewa na Jamhuri Kihwelo 'Julio' kimezidi kuchanja mbuga baada ya kushinda kwa mabao 2-1 dhidi Green Worriors kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar.


Mabao ya Mwadui katika mechi hiyo yamefungwa na wakongwe Athumani Iddi 'Chuji' na Monja Liseki.

Kutokana na ushindi huo Mwadui FC imejiweka katika nafasi ya kupanda Ligi Kuu Bara baada ya kushinda kwa mabao 2-1.

Mwadui FC imebakiza michezo miwili na ikishinda mmoja, itakuwa katika nafasi ya kurejea Ligi Kuu Bara.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic