January 26, 2015


Zambia imeng'olewa kwenye michuano ya Kombe la Mataifa Afrika huku DR Congo ikifuzu hatua ya robo fainali.


Timu ya kwanza kufuzu katika mechi mbili za leo imekuwa Tunisia baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya DR Congo.

Lakini Cape Verde na Zambia ambazo zimetoka sare ya bila kufungana zimefungasha virago kurejea nyumbani kutoka katika michuano hiyo ya Kombe la Mataida Afrika.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic