GUINEA YAFUZU KWA SANDAKALE, MALI YARUDISHWA NYUMBANI Guinea ndiyo iliyofuzu kwenye ile 'urushaji shilingi' baada ya kufanyika droo ya kuchagua timu gani iungane na Ivory Coast kucheza robo fainali. Sandakalawe hiyo au droo imefanyika leo na Guinea ndiyo imepata nafasi ya kucheza mechi hiyo dhidi ya Ghana.
0 COMMENTS:
Post a Comment