January 29, 2015


Ivory Coast imefuzu hadi hatua ya robo fainali ya michuano ya Afcon inayoendelea nchini Equatorial Guinea baada ya kuichapa Cameroon kwa bao 1-0.


Lakini pigo kwa Afrika Magharibi baada ya Cameroon kufuzu katika hatua hiyo ya makundi.

Lakini gumzo ni Mali na Guinea ambazo zimeringana pointi tatu kila moja, mabao ya kufunga na kufungwa.

Caf ilieleza utafanyika utaratibu wa droo ili kupata uhakika timu gani iliyofuzu na baadhi waliishatangaza kuwa Guines ndiyo iliyofuzu.


Timu hizo mbili zilitoka sare ya bao 1-1 katika mechi yao ya mwisho na kufikisha pointi tatu huku Cameroon ikishika mkia kwa kuwa na pointi 2 na vinara ni Ivory Coast wenye pointi 5.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic