January 27, 2015


Mbrazil Victor Nobrega amefanikiwa kushinda kushinda katika pambano la Mixed Martial Arts dhidi ya Philip Mulpeter wa Ireland.


Kutokana na ushindi huo Nobrega kutoka Brazil ameendelea kutetea taji lake lakini gumzo lilikuwa ni tege alilompiga Mulpeter.


Teke la mbavu ambalo lilibadili kasi ya Mulpeter ambaye mwanzo alionekana kuongoza kwa muda mwingi.

Yote michezo lakini huu wa ngumi na mateke kupigana kwenye cage, nao ni hatari sana.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic