January 28, 2015



MPIRA UMEKWISHAAAAAAA.....
DK 90+4  anakwenda kupiga Chollo...inagonga mwambaaa ....
PENALTIIIIIIIIIIIIIIDK 90+4
GOOOOOOOOOOOOOOOOOODk 90+2 Yusuf Abdallah

Dk 90 PEMALTIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII......manyika anafanya masdhambi na mwamuzi anatoa penalti



Dk 89, Nonga al manusurua afunge lakini anatoa nje
Dk 87 Nyosso anatoa mpira unakuwa kona, inapigwa na Burhan anajitahidi kuudaka kwa juhudi

Dk 84 Chollo anapiga shuti kali lakini mpira unatoka pembeni kidogoo

GOOOOOOOOOOO Dk 77 Kibopile  anaifungia Mbeya City bao la kusawazisha

Dk 75 Simba inamtoa Ajibu anaingia Banda
DK 74 Nonga anaingia kwenye aneo la hatari, anapiga shuti lakini linazuiwa.

Dk 62 Simba wanamtoa Simon Sserunkuma na kumuingiza Ibrahim 'Messi'


Dk 57 krosi nzuri ya Chollo, kipa wa Mbeya City anautema, Ajibu anapiga shuti lakini kipa huyo anadaka kwa ustadi

Dk 53, Nonga anapiga kichwa lakini mpira unatoka nje juu kidogo ya lango la Simba na mabeki wake wanaonyesha kuwa wavivu kuruka.

DK 51 Themi Felix anapiga shuti lakini anashindwa kulenga bao na sekunde chache baadaye anapata krosi safi na kuunganisha kwa kichwa lakini Peter Manyika anadaka kwa ustadi mkubwa.

Dk 47 Kaseke anatoa pasi nzui kwa Paul Nonga lakini anashindwa kufanya lolote.


MAPUMZIKO:

Kipindi cha kwanza kimeisha kwa Simba kupata bao moja lililofungwa na Ibrahim Ajib kwa mkwaju wa adhabu.

Kipindi cha pili, Simba wanamtoa Danny Sserunkuma na kumuingiza Elius Maguli.


1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic