January 28, 2015



Mabondia nyota zaidi duniani, Floyd Mayweather na Manny Pacquiao wamekutana kwa karibu, wakazungumza na kubadilishana namba za simu.


Kitendo cha wakali hao kuzungumza, kimezua gumzo na huenda lile pambano kati yao linalosubiriwa kwa hamu kubwa limekaribia.

Walikutana wakati wa mechi ya mpira wa kikapu kati ya Miami Heat vs Milwaukee Bucks jijini Miami, Marekani.
Pambano kati ya wawili hao linatarajia kuanza kujadiliwa kwa thamani ya kuanzia dola milioni 300.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic